Wiki ya utafiti 2017

TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAADHIMISHA WIKI YA UTAFITI TAREHE 30 MACHI 2017 KWA MAONESHO.   MAONESHO YA MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO BARABARA YA MIZINGANI, MALINDI, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.   KAULI MBIU […]

SUTAS Workshop on18th to 22nd September 2016

The Institute of Marine Sciences (IMS) of the University of Dar es Salaam, located in Zanzibar, in collaboration with Leibniz Center for Tropical Marine Ecology (ZMT), Bremen, Germany, is organizing a workshop on Sustainable Use of Tropical Aquatic Systems (SUTAS). The theme of the workshop is “Sustainable Use of Tropical Aquatic Systems”.  One of the […]

Wiki ya utafiti, Taasisi ya Sayansi za Bahari Zanzibar

Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam itaadhimisha WIKI YA UTAFITI siku ya tarehe 3 na tarehe 4 mwezi Mei mwaka huu wa 2016 kwa MIHADHARA na MAONESHO Mihadhara itakuwa ni kwa waalikwa maalum na itafanyika tarehe 03/05/2016 Maonesho ya matokeo ya tafiti mbalimbali ya kisayansi yatakuwa ni kwa wananchi […]

International Training Course on Mangrove Ecosystems in the Western Indian Ocean Region

  The Institute of Marine Sciences of the University of Dar es Salaam together with Kenya Marine and Fisheries Research Institute (KMFRI), the University of Nairobi, the United Nations University Institute for Water, Environment and Health (UNU-INWEH), the Western Indian Ocean Mangrove Network (WIO-MN), Wetlands International, Annamalai University (India), Coastal Oceans Research and Development – […]

Maadhimisho ya wiki ya utafiti 2015

Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam itaadhimisha WIKI YA UTAFITI siku Juma tano ya tarehe 22 na siku ya Alhamis ya tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu wa 2015 kwa MIHADHARA na MAONESHO Mihadhara itakuwa ni kwa waalikwa maalum na itafanyika tarehe 22/04/2015 Maonesho ya matokeo ya tafiti mbalimbali […]