Maadhimisho ya wiki ya utafiti 2015

  • March 29, 2015

Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam itaadhimisha WIKI YA UTAFITI siku Juma tano ya tarehe 22 na siku ya Alhamis ya tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu wa 2015 kwa MIHADHARA na MAONESHO

Mihadhara itakuwa ni kwa waalikwa maalum na itafanyika tarehe 22/04/2015

Maonesho ya matokeo ya tafiti mbalimbali ya kisayansi yatakuwa ni kwa wananchi wote na yatafanyika tarehe 23/04/2015 katika jengo la taasisi ya sayansi za baharari lililoko barabara ya Mizingani, Malindi, Zanzibar kuanzia saa 3 asubuhi.
Nyote Mnakaribishwa