Maadhimisho ya wiki ya utafiti 2019 ngazi ya taasisi

  • April 6, 2019

TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ITAADHIMISHA WIKI YA UTAFITI TAREHE 9 APRILI 2019 KWA MAONESHO. 

MAONESHO YA MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO KAMPASI YA BUYU, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.

KAULI MBIU YA MAONESHO HAYA NI “UTAFITI KWA MAENDELEO JUMUISHI NA ENDELEVU” KWA LUGHA YA KIINGEREZA INASOMEKA ‘RESEARCH FOR INCLUSIVE AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

TAFITI MBALIMBALI ZA KISAYANSI KWA WANANCHI WOTE YATAFANYIKA KATIKA JENGO LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI LILILOKO KAMPASI YA BUYU, ZANZIBAR KUANZIA SAA 3 ASUBUHI.

KAULI MBIU YA MAONESHO HAYA NI “UTAFITI KWA MAENDELEO JUMUISHI NA ENDELEVU” KWA LUGHA YA KIINGEREZA INASOMEKA ‘RESEARCH FOR INCLUSIVE AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT.

Nyote Mnakaribishwa

Menu Title